عرض الرسائل ذات التصنيف News MPYA

ROSE MUHANDO ALALAMIKIA KUDHULUMIWA MAPATO NA SONY MUSIC AFRICA

ROSE MUHANDO ALALAMIKIA KUDHULUMIWA MAPATO NA SONY MUSIC AFRICA Msanii maarufu wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando , amevunja ukimya wake baada ya zaidi ya miaka 15 ya…

MASHINDANO makubwa ya kusaka vipaji nchini Bongo Star Search Msimu wa 16 yanatarajiwa kuanza rasmi

MASHINDANO makubwa ya kusaka vipaji nchini, Bongo Star Search (BSS) Msimu wa 16, yanatarajiwa kuanza rasmi Februari 7 na 8, 2026 katika Ukumbi wa La Kairo Hotel , jijini M…

Msanii wa Bongofleva Kusah amerejesha faraja kwa mashabiki zake

Msanii wa Bongofleva Kusah amerejesha faraja kwa mashabiki zake mara baada ya kutoa EP yake mpya ya BUMBULI BOY  yenye jumla ya nyimbo sita. Usikose kusikiliza nyimbo kama…

Maua Sama azua gumzo, Je Ni Kweli au Kuna Jambo Jipya?

Maua Sama azua gumzo, Je Ni Kweli au Kuna Jambo Jipya ? Msanii wa Bongo Fleva nchini, Maua Sama , amezua maswali kadhaa kwa mashabiki wake kuhusu kile alichokiandika katik…

New AUDIO | Harmonize Ft Rudeboy – Best Couple | Download

New AUDIO | Harmonize Ft Rudeboy – Best Couple | Download  Mkali wa muziki Harmonize kutoka Tanzania Amemshirikisha msanii wa Nigeria Rudeboy   rasimi wameachia wimbo mp…

HARMONIZE ATOA USHAURI KWA WASANII

HARMONIZE ATOA USHAURI KWA WASANII   Msanii Harmonize amewasihi wasanii kuutumia miziki Singeli kuimba masuala ya kijamii vitu vya maana zaidi ili kuuongezea thamani na ku…

Abigal Chams ameandika historia kwa kuonekana kwenye jalada la toleo la Mei la jarida la Rolling Stone Africa

Abigal Chams  ameandika historia kwa kuonekana kwenye jalada la toleo la Mei la jarida la Rolling Stone Africa Abigal Chams ameandika historia kwa kuonekana kwenye jalada …

Meja kunta Ameweka Wazi kusalitiwa na Msanii Wa WCB Wasafi d voice Kwa kumuzunguka Kupitia kazi zao

Msanii wa Singeli meja kunta Ameweka Wazi kusalitiwa na Msanii Wa WCB Wasafi D voice Kwa kumuzunguka Kupitia kazi zao D voice alitumia mashairi ya meja kunta kwenye Wimbo…

Burna Boy ameweka wazi matamanio yake ya kufanya shoo ya bure Burkina Faso

Msanii wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Burna Boy ameweka wazi matamanio yake ya kufanya shoo ya bure Burkina Faso mwishoni mwa mwaka huu.  Burna ameweka wazi matamanio ha…

Barnaba ametangaza rasimi kuachia wimbo mpya na diamond platnumz inaitwa Salama

Barnaba ametangaza rasimi kuachia wimbo mpya na diamond platnumz inaitwa Salama   Baada ya takriban miaka mitatu kupita tangu walipokutana kwenye wimbo "Hadithi"…

Kumekuwa na lawama nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki na wadau wa muziki

Kumekuwa na lawama nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki na wadau wa muziki zikitupwa kwa wasanii ambao huanza kufanya aina fulani ya muziki na baadaye kubadilika na kufanya…

Harmonize aeleza sakata la Ibraah na kukiri kwamba hajamdai Ibraah shilingi bilioni moja kama alivyodai

Harmonize aeleza sakata la Ibraah na kukiri kwamba hajamdai Ibraah shilingi bilioni moja kama alivyodai C.E.O na Mwanzilishi wa Konde Gang , Staa wa Bongofleva   Harmonize…

Msanii Ibraah amefunguka baada ya Kutoka Basata

Msanii Ibraah amefunguka baada ya Kutoka Basata Kwenye Kikao cha pili kilichofanyoka Leo, Ibraah amesisitiza kuwa malalamiko na kila kitu tayari wamewaachia Basata '…

Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz amezua mjadala mitandaoni

Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz amezua mjadala mitandaoni mara baada ya kushea baadhi ya picha zake na kuzisindikiza na wimbo wa Ibraah " Copy &Paste "…

Jay Melody Ametangaza ujio wa Album yake Mpya

Jay Melody Ametangaza ujio wa Album yake Mpya msanii wa Bongo Fleva, Jay Melody ametangaza ujio wa albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la " Addiction ". Akielez…

Harmonize na Kajala Wazua Gumzo kwenye Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mtoto wa Paula na Marioo

Harmonize na Kajala Wazua Gumzo kwenye Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mtoto wa Paula na Marioo   Msanii maarufu wa Bongo Fleva , Harmonize , alikuwepo miongoni mwa mastaa wakubwa w…

Msanii Diamond Platnumz Azidi kuonyesha Uwezo Mkubwa kwenye Muziki

Msanii Diamond Platnumz Azidi kuonyesha Uwezo Mkubwa kwenye Muziki Mbali na kujulikana kwa mafanikio yake makubwa katika muziki wa Bongo Fleva na kupenya hadi kwenye midund…

Msanii Yammi Rasimi aachwa na lebo ya African princess inayomilikiwa na Nandy

Msanii Yammi Rasimi aachwa na lebo ya African princess inayomilikiwa na Nandy   African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na m…

Msanii Davido amzawadia dola 5000 shabiki yake aitwaye Ananzo

Msanii Davido amzawadia dola 5000 shabiki yake aitwaye Ananzo  Mkali huyo wa Afrobeat kutoka Nigeria, David Adeleke ' Davido ' amemzawadia shabiki wake aitwaye Ananz…

Rayvanny msanii maarufu wa Bongo Fleva ameweka wazi

Rayvanny msanii maarufu wa Bongo Fleva ameweka wazi  msimamo wake kuhusu tetesi zinazozagaa mitandaoni kuwa amefilisika baada ya kuondoka katika lebo ya WCB. Akiwa na kupoke…

تحميل المزيد من المشاركات لم يتم العثور على أي نتائج