Msanii wa Bongofleva Kusah amerejesha faraja kwa mashabiki zake mara baada ya kutoa EP yake mpya ya BUMBULI BOY yenye jumla ya nyimbo sita.
Usikose kusikiliza nyimbo kama:
Kusah Ft Khaligraph Jones – Feelings
Kusah Ft Chino Kidd & Loui – Pombe
Mashabiki wake wengi wamefurahishwa na jina la Ep hiyo huku wakimsifu kuwa anamoyo wa kukumbuka alipotoka,pia Kusah usiku wa Jana alifanya Listening party ya EP hiyo akiwa na mashabiki zake wa Bumbuli.
Je umebahatika kusikiliza Ep hii?,
yapi maoni yako?
إرسال تعليق