New AUDIO | Nadia Mukami – Single Mother | Download
Mwimbaji wa Kenya Nadia Mukami, anayejulikana kwa sauti yake nzuri na maneno ya kutia nguvu, amachia wimbo mpya unaoitwa Single Mother, Wimbo huo ambao umetolewa leo, unaangazia mapambano, nguvu, na ustahimilivu wa akina mama wasio na waume barani Afrika na kwingineko.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahususi kwa miziki yote ya Kiafrika Pia tovuti hii inakuletea Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi zote za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
إرسال تعليق