New AUDIO | Harmonize – Coming Home | Download
Harmonize Msanii wa Muziki wa Tanzania na bosi wa lebo ya Konde Music Worldwide, Harmonize, ameachia wimbo mpya unaoitwa Coming Home, na tayari unavuma barani kote Wimbo wa Singeli unao wakilisha vizuri muziki wa tanzania na tamaduni zake, Harmonize anazidi kuonyesha umahiri wa utunzi bora kwenye muziki anazidi kuwafanya mashabiki wasichoke kusikiliza nyimbo zake.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahususi kwa miziki yote ya Kiafrika Pia tovuti hii inakuletea Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi zote za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
إرسال تعليق