New AUDIO | Kibonge Wa Yesu – Mwisho wa Yote | Download
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Tanzania Kibonge Wa Yesu amachia wimbo mpya uitwao Mwisho Wa Yote, wimbo bora kutoka kwa EP yake mpya Grateful Heart. Wimbo huo unatoa ujumbe wenye nguvu wa tumaini, uvumilivu, na imani isiyoyumbayumba katika Mungu, hata wakati kila kitu kinaonekana kuharibika.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahususi kwa miziki yote ya Kiafrika Pia tovuti hii inakuletea Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi zote za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
إرسال تعليق