New AUDIO | Mbosso – Nusu Saa | Download - DJ Makiss Music - New Songs Download

New AUDIO | Mbosso – Nusu Saa | Download

Asante kwa shauku yako katika Makiss Music, mahali pako salama pa kusambaza muziki wako. Tunathamini maswali, maoni na maswali yako Jisikie huru kuwasiliana nasi kupitia njia zifuatazo Usaidizi kwa Wateja WhatsApp +255718308551 Chat ya Moja kwa Moja Inapatikana kwenye tovuti yetu saa za kazi
New AUDIO | Mbosso – Nusu Saa | Download

New AUDIO | Mbosso – Nusu Saa | Download


Baada ya mafanikio ya wimbo wake wa kwanza Pawa, msanii kipenzi cha mashabiki Mbooso amerudi tena na ngoma mpya ya pili kutoka kwenye EP yake yenye jumla ya nyimbo 7, chini ya lebo ya KhanMusic. Ngoma hii inakwenda kwa jina la Nusu Saa na ni mwendelezo wa simulizi la mapenzi ya dhati.


Katika Nusu Saa, Mbooso anaendelea kumwimbia mpenzi wake kwa hisia na mahaba tele, akisisitiza kuwa muda hautoshi kuelezea mapenzi yake:


"Imetosha tangu nikupate wewe,

Robo saa haitoshi,

Nusu saa, hata masaa – hatoshi kusema na wewe"


Mashairi haya yanagusa moyo na kuonyesha jinsi mapenzi ya kweli yanavyokuwa na kina. Mbooso anaongeza upole na kujitoa kwa mpenzi wake kwa kusema:


"Deka kama unavyodeka kama mtoto,

Nitakukubembeleza – mimi ni wako"


Mbosso - Nusu saa

Kama ilivyokuwa kwenye "Pawa", pia hapa Mbooso anaonyesha ubunifu wa hali ya juu, akiwa amepangilia mashairi kwa uangalifu, beat laini yenye ladha ya Bongo Flava na Afro-RnB, huku production ikiwa safi na ya kiwango cha juu.

Listen Or Download this song From Mbosso – Nusu Saa


Habari yenu ndugu zangu?

Kwa wapenzi wa muziki karibu Ujiunge nasi kwenye Group hili 

Ili usipitwe na nyimbo Mpya kila Siku 

Chakufanya bonyeza hiyo Link ikifunguka utaona Neno Follow Gusa apo

Bonyeza picha hii👇 

Post a Comment

0 Comments