New AUDIO | Misso Misondo – My Darling | Download
Misso Misondo kutoka Tanzania ametoa wimbo mpya uitwao My Darling, ni DJ Misso Misondo anayefanya vizuri katika muziki wa Singeli mix ambaye ni dj mwenye kipaji kikubwa, kwenye mixed za muziki wa Single anauwezo wa kuufanya muziki kua na Radha tofauti fouti emejizolea mashabiki wengi wanao penda staili ya Muzik anaoufanya wenye mizuka ya kusisimua
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments