New AUDIO | Jux – Ex Wa Nani Ft D Voice | Download
Jux kutoka Tanzania ametoa wimbo mpya uitwao Ex Wa Nani, Amemshirikisha D Voice msanii Jux anayefanya vizuri katika muziki wa R&B na Bongo Fleva ambaye ana kipaji kikubwa, mwimbaji na mtunzi mzuri, Kwa mara ya kwanza Jux aimba wimbo wa Singeli nakuufanya muziki wa Singeli uzidi kukua akiwa amefanya vizuri na msanii wa nyimbo za Singeli D Voice ambaye ni msanii wa Lebo ya WCB Wasafi.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments