New AUDIO | Chief Godlove Ft Nyandu Tozzy, Country Wizzy, Belle 9, Moni Centrozone – Money Talks | Download
Chief Godlove kutoka Tanzania ametoa wimbo mpya uitwao Money Talks, amewashirikisha wasanii wa Hip Hop akiwemo, Nyandu Tozzy, Country Wizzy, Belle 9, na Moni Centrozone Kijana Chief Godlove anayefanya vizuri kwenye harakati za kupambana kimaisha ili kuhakikisha anawasaidia watu wasio jiweza ni kijana ambaye emekua gumzo kwenye jamii jinsi anavyo jitoa kusaidia watu, ameamua kutunga wimbo ambao unaonyesha kiasi gani maisha yanaitaji kupambana ili kufikia malengo yako kijana.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments