New AUDIO | Chella Ft Diamond Platnumz – My Darling Remix (Mpenzi wangu) | Download
Chella kutoka Nigerian ametoa wimbo mpya uitwao My Darling Remix (Mpenzi wangu), Amemshirikisha Diamond Platnumz kutoka Tanzania msanii Chella anayefanya vizuri katika muziki wa Afrobeat ambaye ana kipaji kikubwa, mwimbaji na mtunzi mzuri.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments