Msanii lbraah kutoka Lebo ya Konde Gang aomba msaada Kwa Tanzania wote
Msanii lbraah kutoka Lebo ya Konde Gang amewaangukia Watanzania wenye mia, mia mbili, jero au buku ajitolee kumchangia ili aweze kumlipa Boss wa Lebo hiyo Harmonize kiasi cha Tsh Bilioni moja ili aweze kutoka kwenye lebo hiyo na kuwa huru kwani tofauti na hapo ana hofu kipaji chake kitakufa.
Dah! Hili mimi limenishinda narudi kwenu watanzania mzee konde anataka nimlipe B1 mimi tangu nianze muziki sijawahi kuingiza hata robo ya 1 billion kwa itakae mpendeza hata ukiwa na jelo buku nisaidieni mimi sitaki kupishana na mzee konde ila hili swala lakulipia mabilioni linaninyima hofu hofu yangu pia yangu kupotea na sina kazi nyingine Kwa yoyote ile atakaefanya.
0 Comments