Msanii Ibraah amefunguka baada ya Kutoka Basata Kwenye Kikao cha pili kilichofanyoka Leo, Ibraah amesisitiza kuwa malalamiko na kila kitu tayari wamewaachia Basata
''aah tumefanya mazungumzo lakini kikubwa ni tuwaachie baraza la sanaa mpaka watakapo kuwa na uamuzi sahihi kuhusu hili mimi namshurukuru mwenyezi mungu kwasababu tulipo fikia n mahali pazuri zaidi Alisema Ibraah
0 Comments