Msanii wa Singeli meja kunta Ameweka Wazi kusalitiwa na Msanii Wa WCB Wasafi D voice Kwa kumuzunguka Kupitia kazi zao
D voice alitumia mashairi ya meja kunta kwenye Wimbo wake uitwao gharama na jux ana ya Tumia mashairi Yake kwenye wimbo anao tarajia kuuachia uitwao Ex wa nani.
"Meja Kunta amesema Kupitia ukurasa wake wa Instagram ku D voice Kwenye Hii Game Nikawa Mtu Wa Kwanza Mwenye Ukaribu Na wewe Kutokana Na Ukaribu Wa Familia Zetu".
Zawadi Nikawa Ndie Mtu Niliekufungulia Milango Mingi Kwenye Maisha Yako Tulipofanya Wimbo Wa Pamoja Ulifanya Vizuri Sana.
Hii I kiasi Gani Wewe Ni Mdogo Wangu Wa Rohoni Kabisa Nina Mapenzi Makubwa Na Wewe
Ila Hiki Unachofanya Kina Tafsiri Mbili
Dharau
Kunitumia
Tunawasiliana Kila siku Tunakutana Kila Siku Sidhani Kama Natakiwa Kulipwa Hiki" Ameandika msanii wa Muziki wa singeli Meja kunta akilalamika kuwa anaibiwa mashairi na msanii mwenzie D voice wa WCB.
0 Comments