New AUDIO - Upendo Nkone – Baba Nimekuja | Download
Mwimbaji wa injili wa Tanzania Upendo Nkone ametoa rasmi wimbo mpya wa kiroho unaoitwa Baba Nimekuja, wimbo wenye nguvu wa kuabudu ambao tayari unagusa mioyo ya wapenzi wengi wa muziki wa injili kote Tanzania na kwingineko.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika,
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.

