New AUDIO | Nikki Mbishi Ft Kayvo Kayforce – Bounce | Download
Mkali wa muziki wa rap nchini Tanzania, Nikki Mbishi amerejea kwa kishindo, akiachia wimbo mpya mkali unaoitwa Bounce, akiwa amemshirikisha mkali wa nyimbo za Kenya Kayvo Kayforce.
djmakisstz.com ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
0 Comments