New AUDIO | Kassim Mganga Ft Mr Blue – Ndoa Ndoano | Download
Kassim Mganga amerejea na wimbo mpya kabisa unaoitwa Ndoa Ndoano, akimshirikisha Mr Blue. Wimbo huo uliozinduliwa leo, tayari unaibua mawimbi kwenye anga za Bongo Flava kutokana na ujumbe wake mzito, mahadhi ya sauti na maneno ya dhati kuhusu mapenzi, ndoa na changamoto zinazotokana na kujitolea kwa dhati.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
0 Comments