New AUDIO | Hemedy PHD Ft Ben Pol – Carolina | Download
Mwimbaji na mwigizaji wa Tanzania Hemedy PHD rasmi ameachia wimbo mpya unaoitwa Carolina, Amemshirikisha Ben Pol uliochukuliwa kutoka katika EP yake mpya aliyoizindua, EP hiyo inakwenda kwa jina "Hisia Za Kidudu".
djmakisstz.com ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
0 Comments