New AUDIO | Rosa Ree – Mjomba Zuberi | Download
Mkali wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania Rosa Ree amerejea kwa kishindo, na kuachia wimbo mpya kabisa unaoitwa Mjomba Zuberi, Wimbo huu, ambao tayari umevuma kwenye majukwaa ya kidijitali, unaimarisha nafasi ya Rosa Ree kama mmoja wa wasanii wa kike wa kufoka na wasio na woga katika Afrika Mashariki.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika.
0 Comments