New AUDIO | Dizasta Vina – Karibu Duniani | Download
Rapa mkali kutoka Tanzania, Dizasta Vina, amerudi tena na ngoma mpya kali inayokwenda kwa jina la Karibu Duniani, kazi inayothibitisha uwezo wake mkubwa wa kuandika mashairi yenye ujumbe mzito huku akitumia mitindo ya kipekee ya Hip Hop ya Kibongo.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments