Rayvanny ameshare kionjo cha wimbo wake mpya ambao amewashirikisha manguli wa muziki Harmonize na Marioo
Msanii wamuziki wa Bongo fleva na CEO wa Nextlevel Music Rayvanny ameshare kionjo cha wimbo wake mpya ambao amewashirikisha manguli wa muziki Harmonize na Marioo, Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha kipande kidogo sana cha sekunde kadhaa kisha kuacha ujumbe wakuwauliza mashabiki 'Ngoma itoke Lini?"
Unazani nani atafunika wenzake humu ndani kati ya Rayvanny, Harmonize na Marioo?
0 Comments