New AUDIO | Boaz Danken – Amen Halleluya | Download
Msanii maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Boaz Danken, amerudi tena kwa kishindo na wimbo wake mpya wenye ujumbe mzito wa kumtukuza Mungu unaoitwa Amen Halleluya, Wimbo huu umetoka rasmi hivi karibuni na tayari umeanza kugusa nyoyo za watu wengi ndani na nje ya Tanzania.
Amen Halleluya" ni wimbo wa kumwinua Mungu unaochanganya sauti tamu ya uimbaji wa Danken na midundo ya kisasa ya Injili, huku ujumbe wake ukisisitiza shukrani, sifa na imani kwa Mungu katika kila hali ya maisha. Boaz anaimba kwa uchaji na upendo mkubwa, akiwahamasisha waumini kuendelea kumsifu Bwana bila kuchoka.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments