New AUDIO | Best Naso – Malengo | Download
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Best Naso, amerudi tena kwenye headlines kwa kuachia wimbo wake mpya unaoitwa Malengo, wimbo unaobeba ujumbe mzito kuhusu ndoto na matarajio ya kumpata mchumba mwenye sifa maalum.
Katika wimbo huu wa Malengo, Best Naso anatumia maneno ya kuvutia kueleza matarajio yake katika mapenzi, akisema wazi kuwa anatamani kumpata mchumba bora wa maisha. Baadhi ya maneno ya kuvutia kutoka kwenye wimbo huu ni:
"Natafuta mchumba mwenye sifa zote, natafuta mchumba wa kumvisha pete, kwanza awe mpole, mwenye upendo asiye na hasira"
Wimbo huu unaelezea hisia halisi za mwanaume anayejua anachokitaka katika mahusiano mpenzi mwenye maadili, upendo wa kweli, na utulivu wa moyo. Ni wimbo unaogusa mioyo ya wengi, hasa wale wanaotafuta mapenzi ya kudumu na ya maana.
djmakisstz ni tovuti ya muziki na burudani kutoka Tanzania iliyoundwa mahsusi kwa miziki yote ya Kiafrika Tovuti hii ina Muziki na Muziki wa Kiafrika unaovuma hivi karibuni kutoka nchi nyingine za Kiafrika.
karibu Ujiunge nasi kwenye tovuti yetu ufurahie muziki bora Afrika pakua nyimbo mpya na usikilize kupitia tovuti ya DJ Makiss Tz. kumbuka kuwa tovuti hii ni maalum kwa kila aina ya nyimbo kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka inchi zote za afrika
0 Comments