Albam mpya ya Jay Melody iitwayo Addiction ameachia rasmi leo, Ijumaa tarehe 9 Mei 2025 Hii ni albam yake ya pili baada ya Therapy
Albamu hiyo imewashirikisha manguli watatu wa muziki Tanzania: Alikiba, Mwana FA na Jux Ushirikiano huu unaonyesha dhamira ya Jay Melody ya kuchagua ubora badala ya wingi.
Albamu hii ni uthibitisho kuwa Jay Melody si tu msanii wa sauti nzuri, bali pia mbunifu na msimulizi wa hadithi anayeendelea kuleta mapinduzi katika muziki wa Bongo Fleva.
Na hizi ndiyo Track List zake
3.Nishalowa Featuring Alikiba | Download
5.My Dearest Featuring Jux | Download
10.Tila Lila Featuring Mwana FA | Download
Upi wimbo wako pendwa kutoka kwenye hii Album ?
0 Comments